IQNA – Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Iran imepanga shughuli na maadhimisho ya kitaifa yenye sura ya kitamaduni, kidini na kijamii kwa ajili ya kusherehekea Sikuukuu ya Ghadir (Idul Ghadir), likiwa ni tukio mashuhuri linaloenziwa na Waislamu wa madhehebu ya Shia duniani kote.
Habari ID: 3480825 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/11
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali (AS), imtangaza kuanza kwa maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Idul Ghadir, yakihusisha ushiriki kutoka zaidi ya mataifa 40 katika mabara matano.
Habari ID: 3480824 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/11
Tukio la Eid Ghadir Khum
Balozi wa Iran mjini Vatican alisema vipengele tofauti vya Tukio la Eid Ghadir Khum vinapaswa kufafanuliwa katika vituo vya kitaaluma vya dunia.
Habari ID: 3479013 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na kuzungumza na maelfu ya wananchi katika sherehe ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid Ghadir Khum.
Habari ID: 3479012 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Eid al Ghadir
Wakati tukio la Eid al-Ghadir linapokaribia, maonyesho yanayoonyesha tukio la Ghadir yamewekwa kwenye kaburi tukufu la Hazrat Masoumeh (SA) huko Qom.
Habari ID: 3479002 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA) - Kozi za Qur'ani Tukufu za Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali (AS) huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, zimehitimishwa kwa sherehe Jumapili jioni.
Habari ID: 3475514 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17